Nenda kwa yaliyomo

Scherri-Lee Biggs

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Scherri-Lee Biggs ni mtangazaji wa runinga, mchezaji densi, mwanamitindo na mshindi wa mashindano ya urembo mwenye asili ya Afrika Kusini na Australia ambaye alitawazwa kuwa Miss Universe Australia mwaka 2011 na aliwakilisha Australia katika mashindano ya Miss Universe mwaka 2011.[1][2][3]

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Scherri-Lee Biggs kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.