Nenda kwa yaliyomo

Saresaiklini

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Saresaiklini

Saresaiklini, yaani Sarecycline ni antibiotiki inayotumika kutibu chunusi. [1] Dawa hii hasa hutumiwa kwa chunusi ya wastani hadi kali ya aina isiyo ya chunusi yenye vinundu vikubwa.[1] Inachukuliwa kwa mdomo.[1]

Madhara yake ya kawaida ni pamoja na kichefuchefu[1] na madhara yake mengine yanaweza kujumuisha kuchomwa na jua, kizunguzungu, maambukizi ya <i id="mwGw">Clostridium difficile</i>.[1] Matumizi yake wakati wa ujauzito yanaweza kumdhuru mtoto.[1] Dawa hii iko katika kundi la dawa zinazotumika kudhibiti na kutibu maambukizi mbalimbali ya bakteria (tetracycline).[1]

Saresaiklini iliidhinishwa kwa ajili ya matumizi ya kimatibabu nchini Marekani mwaka wa 2018.[2] Nchini Marekani, inagharimu takriban dola 750 kwa mwezi kufikia mwaka wa 2021.[3] Dawa hii haijakuwa ikipatikana Ulaya au Uingereza kufikia mwaka wa 2021.[4]

  1. 1.0 1.1 1.2 1.3 1.4 1.5 1.6 "Sarecycline Monograph for Professionals". Drugs.com (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 21 Januari 2021. Iliwekwa mnamo 10 Oktoba 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "FDA-approved Labeling-Package Insert for Seysara" (PDF). Drugs@FDA. Juni 2020. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo Juni 7, 2020. Iliwekwa mnamo Septemba 5, 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "Seysara Prices, Coupons & Savings Tips - GoodRx". GoodRx. Iliwekwa mnamo 10 Oktoba 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. "Sarecycline". SPS - Specialist Pharmacy Service. 30 Machi 2017. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 11 Oktoba 2021. Iliwekwa mnamo 10 Oktoba 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mambo ya tiba bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Saresaiklini kama sababu yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.