Nenda kwa yaliyomo

Sarah Stratigakis

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Sarah Anne Stratigakis (alizaliwa 7 Machi 1999) ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Kanada ambaye anacheza kama kiungo wa Bristol City inayoshiriki katika Ligi Kuu ya Wanawake (WSL) [1] na timu ya taifa ya Kanada.

  1. Noah Dougherty (2024-01-20). "Stratigakis signs". Bristol City FC (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2024-04-27.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sarah Stratigakis kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.