Sangoma

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Sangoma (pia: katambuga) ni aina ya kiatu kinachovaliwa na kabila la Wamasai na watu wengine, hasa nchini Tanzania.

Hivi ni viatu vinavyotengenezwa kwa kutumia matairi ya magari na hupendwa kwa sababu ya ugumu wake.

Mara nyingine huwa mtindo.

Blank template.svg Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sangoma kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.