Nenda kwa yaliyomo

Sangah

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sangah
Chakula asili cha Kamerun.

Sangah ni chakula asili cha Kamerun kinachopikwa kwa mahindi, majani ya mihogo, na maji ya madafu.[1] [2] Majani hupondwa na mchanganyiko huwa mchuzi mzito. Mara nyingi huliwa na wali au mchemsho wa ndizi.[3] Ni chakula cha kimila.[4][5]

Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sangah kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.