Sandra Bernhard

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Bernhard at the Daryl Roth Theater in New York City, 2006

Sandra Bernhard (alizaliwa Juni 6, 1955) ni mwigizaji wa nchini Marekani. Alipata shauku kwa mara ya kwanza mwishoni mwa miaka ya 1970 katika uchekeshaji wa jukwaani, ambapo mara nyingi alikosoa utamaduni wa watu mashuhuri hasa wa wanasiasa..[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sandra Bernhard kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.