Nenda kwa yaliyomo

Sanaa Mazhar

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sanaa Mazhar
Amezaliwa Sanaa Mazhar
17 Agosti1932
Misri
Amekufa 6 Agosti 2008
Kazi yake Mwigizaji

Mazhar Alizaliwa mnamo 17 Agosti 1932. Aliolewa na mwanamume ambaye alikufa kwenye Yom Kippur war mwaka wa 1973 na hakuolewa tena. Alikuwa mmoja wa wasichana watatu katika "Bayaat Al Jarid" Pamoja na Magda na Naima Akef.Kazi kumi na tatu zilitosha kujulikana nchini Misri na watazamaji. Aliigiza na muigizji mshuhuri na waigizaji kama Hind Rostom, Rushdi Abaza, Nadia Lutfi, Najat Al Saghira, Shadia na Salah Zulfikar. Alishiiki katika kazi nyingi za kihistoria, akicheza majukumu kama Queen of Saba.alikua mkali sana kwa baadhi ya nyota ambao walimwomba kubadili rangi ya nywele. Pia aliwahi kubuni maelezo yote ya utu wake wa kisanii kutoka kwa mtindo wake wa nywele. .[1][2]


Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sanaa Mazhar kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  1. سناء مظهر.. الشقراء التي أثارت غيرة زميلاتها Kigezo:In lang
  2. "Sanaa Mazhar - Actor - Filmography، photos، Video". elcinema.com. Iliwekwa mnamo 2018-08-07.