Samwel Yellah Black

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Samwel Yellah Black
2012–2013Black Leopard FC Under20
2014Black Leopard Fc Under20
† Appearances (Goals).

Samwel Yellah (amezaliwa 29 Mei 1993 mjini Mbeya) [1] ni mkufunzi wa soka wa timu ya kandanda ya Costa mwaka 2008 na sasa ni meneja wa klabu ya Black Leopard Fc Under20

Wasifu[hariri | hariri chanzo]

Wasifu wake wa Uchezaji[hariri | hariri chanzo]

Black alicheza kabumbu ya klabu na klabu ya Costa Boys kati ya miaka ya 2008 na 2012, kabla ya kuwa meneja.[1]

Wasifu wa Ukocha[hariri | hariri chanzo]

Samwel Yellah Black aliteuliwa kama meneja wa timu ya kandanda ya Costa Boys tarehe 11 Desemba 2013,[2] baada ya kuwa katika nyadhifa ya mwangalizi tangu Mei 2013.[3] Alifutwa kazi kutoka nyadifa ya timu ya Costa baada ya Kombe la Diwani mnamo Julai mwaka wa 2014 kutokana na migogoro kati yake na watawala wa kandanda ya Timu hio.[4] Samwel Yellah aliteuliwa kuwa kocha wa timu ya Vijana ya Black Leopard FC Under20 mnamo mwaka 2015 Februali

Ugambo[hariri | hariri chanzo]

Samwel Yellah amesema hadharani dhidi ya makocha wa kigeni katika Afrika.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. 1.0 1.1 YellahBlack. Tanzania Soccer Institute. Iliwekwa mnamo 2008-12-11.
  2. returns as Tanzania coach. BBC (2013-12-11). Iliwekwa mnamo 2013-12-11.
  3. Confusion over Tanzania coach. BBC (2008-11-27). Iliwekwa mnamo 2013-12-11.
  4. Samwel sacked as Tanzaniacoach. BBC. Iliwekwa mnamo 2014-12-19.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

  • Tanzania Footie-tovuti ya Kandanda Tanzania
People.svg Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Samwel Yellah Black kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.