Sameer Ismail Lotto
Sameer Ismail Lotto (amezaliwa tar. 3 Julai 1966) ni mbunge wa jimbo la Morogoro -Kusini -Mashariki katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.
Tazama pia[hariri | hariri chanzo]
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- ↑ "Mengi kuhusu Sameer Ismail Lotto". 19 Julai 2006. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-20. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.
Viungo vya nnje[hariri | hariri chanzo]
- Tovuti ya Bunge la Tanzania
Makala hiyo kuhusu mwanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |