Sambizanga

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Sambizanga ni moja ya miji sita inayotengeneza Manispaa ya Luanda nchini Angola. Sambizanga ina urefu wa 14.5km ² na ina wenyeji takiribani 244,000. Mji huo uko pembezoni na magharibi mwa Bahari ya Atlantiki, kaskazini mwa manispaa ya Cacuaco, na Mashariki mwa manispaa ya Cazenga na kusini mwa manispaa ya Ingombota na Rangel.Na mji huo unajumuisha manispaa ya Sambizanga, Bairro Operário na Ngola Kiluanje. Mercado Roque Santeiro ni soko kubwa zaidi la wazi barani Afrika, linalo patikana katika wilaya hiyo.[1]


Mnamo Decemba mwaka 2007, muongozaji wa filamu Radical Ribeiro alianza kutengeneza filamu mjini Sambizanga. Na mnamo 18 Dicemba polisi walikosea na kuwakamata waigizaji katika filamu ya Ribeiro, ambao walikuwa wamebeba silaha za kivita wakidhani ni wahalifu halisi na wakawafyatulia risasi, na kuwaua watu wawili. Waziri wa Mambo ya Ndani wa nchi iyo Roberto Leal Monteiro alisema "Hatutapumzika hadi polisi katika ngazi zote watambue kuwa wao ni wafanyikazi wa umma," polisi walikosea na kuwakamata waigizaji katika filamu ya Ribeiro, ambao walikuwa wamebeba silaha za kivita wakidhani ni wahalifu halisi na wakawafyatulia risasi, na kuwaua watu wawili. Waziri wa Mambo ya Ndani wa nchi iyo Roberto Leal Monteiro alisema "Hatutapumzika hadi polisi katika ngazi zote watambue kuwa wao ni wafanyikazi wa umma.

Picha[hariri | hariri chanzo]

Viungo Vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Angola bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Sambizanga kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.