Sam Tierney

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Tierney akiwa na Sheffield United mnamo 2018

Samantha Tierney (alizaliwa 8 Oktoba 1998)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Uingereza ambae anacheza kama kiungo wa kati au beki wa klabu ya Leicester City.[2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "‘My masters prepared me for the demands of the football industry.’ | Sheffield Hallam University". www.shu.ac.uk. Iliwekwa mnamo 2024-04-27. 
  2. "Leicester City 2-0 London City Lionesses". womenscompetitions.thefa.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2024-04-27. 
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sam Tierney kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.