Nenda kwa yaliyomo

Sam Adekugbe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Adekugbe akichezea timu ya taifa ya soka ya wanaume ya Canada katika Kombe la Dunia la FIFA 2022.

Samuel Ayomide Adekugbe (alizaliwa Januari 16, 1995) ni mchezaji wa soka wa kulipwa anayecheza kama beki wa kushoto katika klabu ya Major League Soccer ya Vancouver Whitecaps FC. Alizaliwa Uingereza, lakini anaiwakilisha timu ya taifa ya soka ya wanaume ya Kanada.[1][2]

  1. "Whitecaps FC add Homegrown defender Sam Adekugbe to MLS roster". WhitecapsFC.com. Vancouver Whitecaps FC. Agosti 28, 2013. Iliwekwa mnamo Oktoba 28, 2013.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Devji, Farhan (Oktoba 27, 2013). "Camilo hat-trick carries Vancouver Whitecaps FC to 3-0 win over Colorado Rapids in 2013 season finale". WhitecapsFC.com. Vancouver Whitecaps FC. Iliwekwa mnamo Oktoba 28, 2013.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sam Adekugbe kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.