Nenda kwa yaliyomo

Salvatore Riina

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Salvatore "Totò" Riina (/ riːnə /; 16 Novemba 1930 - 17 Novemba 2017), ambaye pia aliitwa Totò 'u Curtu (Kisisiliani: Totò Mfupi; Totò ni jina jingine la utani la "Salvatore"), alikuwa jangili wa Kiitaliano na mkuu wa kundi la Mafia la Sisilia, lililojulikana kwa kampeni ya mauaji ya ukatili ambayo yalifikia kilele katika miaka ya 90, wakati vifo vya waendesha mashitaka wa Tume ya Kupinga Mafia Giovanni Falcone na Paolo Borsellino vilisababisha chuki ya umma na msako mkali. Alijulikana pia kwa jina la utani la belva ("mnyama") na il capo dei capi ("bosi wa mabosi").

Riina alikufa Novemba 17, 2017 akiwa na umri wa miaka 87 akiwa gerezani huko Parma.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Salvatore Riina kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.