Salvador, Bahia
Mandhari
(Elekezwa kutoka Salvador, Brazil)
Salvador | |||
| |||
Majiranukta: 12°58′29″S 38°28′36″W / 12.97472°S 38.47667°W | |||
Nchi | Brazil | ||
---|---|---|---|
Kanda | Northeast | ||
Jimbo | Bahia | ||
Idadi ya wakazi | |||
- Wakazi kwa ujumla | 2,998,096 | ||
Tovuti: www.salvador.ba.gov.br |
Salvador ni jina la mji mkuu wa jimbo la Bahia katika Brazil. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2009, mji una wakazi wapatao milioni 3 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 8 kutoka juu ya usawa wa bahari.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- (Kireno) Tovuti rasmi Archived 5 Juni 2014 at the Wayback Machine.
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Brazil bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Salvador, Bahia kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |