Saltillo, Coahuila

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sehemu ya Mji wa Saltillo, Coahuila


Jiji la Saltillo
Nchi Mexiko
Jimbo Coahuila
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 633,667
Tovuti:  www.saltillo.gob.mx

Saltillo ni mji mkuu na pia mji mkubwa katika jimbo la Coahuila. Mwaka 2005 idadi ya wakazi ilikuwa 633,667. Eneo lake ni 6,837 km². Mji upo m 1600 kutoka juu ya usawa wa bahari.

Mji ulianzishwa na Wahispania 1577.

Makala hii kuhusu maeneo ya Mexiko bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Saltillo, Coahuila kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.