Saint-Denis

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sehemu ya Mji wa Saint-Denis



Saint-Denis
Saint-Denis is located in Ufaransa
Saint-Denis
Saint-Denis

Mahali pa mji wa Saint-Denis katika Ufaransa

Majiranukta: 48°56′11″N 2°21′17″E / 48.93639°N 2.35472°E / 48.93639; 2.35472
Nchi Ufaransa
Mkoa Île-de-France
Wilaya Seine-Saint-Denis
Tovuti:  www.ville-saint-denis.fr

Saint-Denis ni mji wa Ufaransa uliopo katika mkoa wa Département Seine-Saint-Denis, karibu na mji mkuu Paris ikiwa ni sehemu ya rundiko la jiji. Mwaka 2015 kulikuwa na wakazi 111.103.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:


Makala hii kuhusu maeneo ya Ufaransa bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Saint-Denis kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.