Nenda kwa yaliyomo

Sade Baderinwa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sade Baderinwa
Sade Baderinwa akishirikiana kumkabidhi mwanafunzi cheki ya ufadhili kutoka Disney
Sade Baderinwa akishirikiana kumkabidhi mwanafunzi cheki ya ufadhili kutoka Disney
Jina la kuzaliwa Folasade Olayinka Baderinwa
Alizaliwa 14 Aprili 1969
Nchi Marekani
Kazi yake Mwandishi wa habari

Folasade Olayinka Baderinwa (anajulikana kitaalamu kama Sade Baderinwa; alizaliwa 14 Aprili 1969) ni mwandishi wa habari wa Marekani.

Maisha ya awali na elimu

[hariri | hariri chanzo]

Baderinwa alizaliwa na baba wa Kiafrika na mama wa Kijerumani.[1] Katika umri wa miaka saba, mama yake hakuwa tena sehemu ya maishani yake na baba yake alirudi Afrika, walimuacha chini ya uangalizi wa familia ya rafiki.[1] Baadaye alihasiliwa huko Baltimore na WBAL-TV kaika nyumba ya Nanga [edien], ambapo wazazi wake pia walitoa msaada wa ziada.[1][2] Baderinwa alipokuwa na umri wa miaka 12, mama yake mzazi alimchukua na kwenda kuishi na familia yake karibu na nchi ya [Montgomery] , Maryland.[1] ameendelea kuwasiliana na wazazi wake wa kumzaa, na pia na familia yake ya kumlea.[1]

Baderinwa alihitimu katika chuo cha Maryland College Park [Chuo Kikuu cha kilimo na maliasili cha Maryland] ambapo alipata shahada ya biashara ya kilimo na uchumi wa rasilimali.[3]

  1. 1.0 1.1 1.2 1.3 1.4 Shapiro. "Anchor In Her Life", May 12, 2002. Retrieved on 2021-05-15. Archived from the original on 2011-12-10. 
  2. Shapiro, Stephanie. "On air, clothes speak, softly", The Baltimore Sun, August 31, 2000. 
  3. Shapiro, Stephanie. "On air, clothes speak, softly", The Baltimore. Sun, August 31, 2000. 
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sade Baderinwa kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.