Saúl Martínez

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Saúl Martínez (alizaliwa 29 Januari 1976) ni mchezaji wa zamani wa mpira wa miguu wa Honduras. Aliwahi kucheza timu ya taifa ya Honduras.

Martínez ameichezea timu ya taifa ya Honduras tangu mwaka wa 2001. Martínez alicheza Honduras katika mechi 35, akifunga mabao 16.[1]

Takwimu[hariri | hariri chanzo]

[1]

Timu ya Taifa ya Honduras
Mwaka Mechi Magoli
2001 9 3
2002 2 4
2003 5 1
2004 11 2
2005 1 1
2006 0 0
2007 3 4
2008 1 0
2009 3 1
Jumla 35 16

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. 1.0 1.1 Saúl Martínez at National-Football-Teams
Football.svg Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Saúl Martínez kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.