SD (rapa)
Mandhari
| SD | |
|---|---|
| Jina la kuzaliwa | Sadiki Thirston |
| Amezaliwa | Novemba 7, 1994 |
| Asili yake | Chicago, Illinois, U.S. |
| Aina ya muziki | Hip hop, Drill, Trap |
| Kazi yake | Rapa |
| Miaka ya kazi | 2010–hadi leo |
| Studio | Glory Boyz Entertainment Truly Blessed |
| Ame/Wameshirikiana na | Chief Keef Fredo Santana Lil Reese Young Chop Young CK Gucci Mane G Herbo Lil Bibby |
Sadiki Thirston (amezaliwa 7 Novemba 1994) ni rapa wa Marekani kutoka eneo la Chicago, Illinois.
Alikuwa katika kikundi Glory Boyz Entertainment.
Albamu alizotoa
[hariri | hariri chanzo]- 2012: Life Of A Savage
- 2012: Life Of A Savage 2
- 2013: Life Of A Savage 3
- 2014: Truly Blessed
- 2015: Life Of A Savage 4
- 2015: Just The Beginning
- 2018: Pay Attention
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Tovuti Binafsi ya SD Ilihifadhiwa 2 Februari 2014 kwenye Wayback Machine.

