Nenda kwa yaliyomo

São Luís, Maranhão

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mji wa São Luís, MaranhãoSão Luís

Bendera
Majiranukta: 3°06′00″S 60°01′00″W / 3.10000°S 60.01667°W / -3.10000; -60.01667
Nchi Brazil
Kanda Northeast
Jimbo Maranhão
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 1,027,098
Tovuti:  www.saoluis.ma.gov.br

São Luís ni jina la mji mkuu wa jimbo la Maranhão katika Brazil. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2009, mji una wakazi wapatao milioni 1 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 4 kutoka juu ya usawa wa bahari.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Brazil bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu São Luís, Maranhão kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.