Nenda kwa yaliyomo

Ruth Yeoh

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ruth Yeoh Pei Cheen ni mfanyabiashara mwanamke wa nchini Malaysia, mfadhili na mwanamazingira. Kwa sasa ni Mkurugenzi Mtendaji katika kampuni ya YTL Singapore pia Mkurugenzi wa kampuni ya YTL Corporation ya kutoa ushauri kuhusu mikopo ya kaboni na utaratibu safi wa maendeleo.

Maisha ya awali na familia[hariri | hariri chanzo]

Ruth Yeoh ndiye mtoto mkubwa zaidi wa bilionea wa Malaysia Tan Sri Dato' Francis Yeoh na Puan Sri Datin Paduka Rosaline Yeoh.[1][2][3] Baba yake mzazi alikuwa Tan Sri Dato' Seri Yeoh Tiong Lay, mwanzilishi wa kampuni ya YTL Corporation . Pia ni dada mkubwa wa Rebeka Yeoh na binamu wa kwanza wa Rachel Yeoh na Michelle Yeoh.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Ruth Yeoh 32 (Singapore)". Forbes. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 27 Mei 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "YTL's Ruth Yeoh among Asia's powerful businesswomen – Nation – The Star Online". www.thestar.com.my.
  3. "YTL Sustainability -".