Nenda kwa yaliyomo

Royan

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Bandari ya Royan

Royan ni mji wa Ufaransa ya magharibi. Iko kwenye mwambao wa Atlantiki upande wa kazkazini wa mdomo wa mto Gironde. Royan ina wakazi 18 202 (mwaka wa 2006).

Historia

[hariri | hariri chanzo]

Royan ni mji wa kale lakini iliharibiwa kabisa wakati wa vita kuu ya pili ya dunia ikajengwa upya baada ya vita kwa hiyo karibu nyumba zote ni mpya.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu maeneo ya Ufaransa bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Royan kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu: