Rose Stephenson-Goodknight

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Dame Rosie Gojich Stephenson-Goodknight[1] (amezaliwa Desemba 5. 1953) [2][3] anayejulikana kwenye Wikipedia kama Rosiestep ni mhariri wa Wikipedia wa Marekani ambaye anajulikana kwa jaribio lake la kushughulikia upendeleo wa kijinsia katika kamusi elezo kwa kuendesha mradi wa kuongeza idadi na ubora wa wasifu wa wanawake.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Rosie Stephenson: The Woman Who Wrote Over Three Thousand Articles on Wikipedia". HuffPost UK (kwa Kiingereza). 2014-12-11. Iliwekwa mnamo 2022-10-02. 
  2. Rachael Allen. "Wikipedia is a world built by and for men. Rosie Stephenson-Goodknight is changing that.". https://www.thelily.com (kwa en-US). Iliwekwa mnamo 2022-10-02. 
  3. Žikica Milošević (2018-03-02). "Interview with Rosie Gojich Stephenson-Goodknight: Everyone in Serbia made me feel like “this is your home”". Diplomacy&Commerce. Iliwekwa mnamo 2022-10-02.