Nenda kwa yaliyomo

Rose Mukantabana

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Rose Mukantabana (31 agosti 1961) ni mwanasheria na mwanaharakati wa haki za wanawake.Mukantabana ni rais wa zamani wa baraza la manaibu wa Rwanda na alikuwa mwanamke wa kwanza kuchaguliwa katika wadhifa huo.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Parlement : Qui est la présidente de la chambre des députés ?", Kigali, Rwanda: Rwanda News Agency, 2 December 2008. (French) 
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Rose Mukantabana kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.