Ronnie Hawkins

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ronnie Hawkins mwaka2019

Ronald Cornett Hawkins(Januari 10, 1935 - Mei 29, 2022) alikuwa mwimbaji-mtunzi wa nyimbo wa Kimarekani, aliyeishi Kanada, ambaye kazi yake ilidumu zaidi ya nusu karne.[1] Alianza kazi yake huko Arkansas, Marekani, ambako alizaliwa na kukulia. Alizaliwa mjini Ontario, Kanada na kuishi huko kwa muda mrefu. Alikuwa na ushawishi mkubwa katika uanzishwaji na mageuzi ya muziki wa rock nchini Kanada.[2][3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. King, Betty Nygaard. "Ronnie Hawkins | The Canadian Encyclopedia". www.thecanadianencyclopedia.ca. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo May 15, 2022. Iliwekwa mnamo May 30, 2022.  Check date values in: |archivedate=, |accessdate= (help)
  2. Quotes from Sylvia Tyson and Burton Cummings. Quotes and Tales Archived Julai 17, 2010, at the Wayback Machine. Ronnie Hawkins's Official Website. Accessed June 4, 2010.
  3. Mersereau, Bob (2015). The History of Canadian Rock 'n' Roll. Rowman & Littlefield. uk. 35. ISBN 978-1-4950-2891-5. 
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ronnie Hawkins kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.