Rong Fu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Rong Fu ni mtafiti, mwanamazingira, profesa na mwandishi aliyandika zaidi ya makala mia moja, vitabu pamoja na kushughulika na mambo mbalimbali yanayohusu mazingira na anga, mvua, pamoja na mabadiliko ya hali ya hewa, amesimamia na kuendesha zaidi ya miradi thelathini na mbili na kukusanya kiasi cha dola za kimarekani milioni kumi na moja kwa lengo la kukabiliana na mabadiliko ya heli ya hewa. Kwa sasa ni profesa katika kituo cha sayansi cha mazingira Atmospheric and Oceanic Sciences Department[1][2] lakini pia ni mkufunzi katika chuo kikuu cha University of Texas huko Austin.[3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Director and Associate Directors". Joint Institute for Regional Earth System Science & Engineering. UCLA. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-12-03. Iliwekwa mnamo 3 July 2017.  Check date values in: |accessdate= (help)
  2. "Associate Directors". Iliwekwa mnamo 22 July 2018.  Check date values in: |accessdate= (help)
  3. "Rong Fu". Jackson School of Geosciences, University of Texas at Austin. Iliwekwa mnamo 3 July 2017.  Check date values in: |accessdate= (help)
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Rong Fu kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.