Nenda kwa yaliyomo

Romeo Panciroli

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Romeo Panciroli

Romeo Panciroli (21 Novemba 192317 Machi 2006) alikuwa askofu wa Italia wa Kanisa Katoliki ambaye alifanya kazi katika mawasiliano hadi mwaka 1984 na baadaye katika huduma ya kidiplomasia ya Vatikani.[1]

  1. "Comboni". www.comboni.org. Iliwekwa mnamo 2020-05-30.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.