Rolfes Dhlomo
Mandhari
Rolfes Robert Reginald Dhlomo (1906 - 1971) alikuwa mwandishi wa Afrika Kusini. Pamoja na kaka yake Herbert Dhlomo, alifanya kazi kama mhariri kwa gazeti Bantu World na gazeti Ilanga laseNatali. Hasa aliandika riwaya kwa lugha ya Kizulu. Pia aliandika hadithi kwa gazeti The Sjambok.
Vitabu vyake
[hariri | hariri chanzo]- An African Tragedy (1928)
- UDingane (1936)
- UShaka (1937)
Angalia pia
[hariri | hariri chanzo]Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Chapman, Michael. 2003. Southern African Literatures, University of Natal Press. ISBN 1-86914-028-1
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Rolfes Dhlomo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |