Nenda kwa yaliyomo

Rogue Pictures

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rogue Pictures ya sasa

Rogue Pictures ni tawi la Relativity Media. Rogue Pictures awali ilianzishwa chini ya PolyGram Films mnamo mwaka wa 1997, lakini ikatoweka kunako mwaka wa 2000, baada ya PolyGram kununuliwa na Universal Pictures. Baadaye, mnamo 2004, ikaja kufufuliwa na Focus Features chini ya Universal Pictures. Tawili hili lina zaidi ya filamu 25 kwenye maktaba yake.

Viungo vya Nje

[hariri | hariri chanzo]