Roger Dod
Mandhari
Roger Dod, DD, Mwanachama wa Pembroke Hall, Cambridge, na Archdeacon wa Salop, alikuwa Askofu wa Meath kuanzia tarehe 6 Novemba 1605 hadi kifo chake tarehe 27 Julai 1608.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Cotton, Henry (1849). Fasti ecclesiæ hibernicæ: the succession of the prelates and ..., Volume 3 By Henry Cotton. uk. 117. Iliwekwa mnamo 2015-11-11.
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |