Rodoljub Šabić

Rodoljub Šabić (alzaliwa 15 Octoba 1855)[1] ni mwanasheria wa Kiserbia, waziri wa zamani wa Utawala na Serikali za Mitaa wa Serbia, pia kamishna wa kwanza taarifa za Umuhimu wa Umma wa Serbia kwanzia 2004 hadi 2018.[2][3]
Wasifu
[hariri | hariri chanzo]Rodoljub Šabić alizaliwa mjini Derventa katika familia ya wapinzani wa kushoto wa Yugoslavia, Mustafa na Stanka mwaka 1955.[4] Alitumia utoto wake huko Sarajevo, Brčko na Tuzla, na akiwa na umri wa miaka kumi na mbili familia yake ilihamia Belgrade.
Šabić anajitambulisha kama Serb na hana dini. Alihitimu kutoka Chuo cha Sheria, Chuo Kikuu cha Belgrade na kufanya kazi kama mwanasheria.
Pamoja na wanasheria wengine saba, aliianzisha CESID.
Ameoa na ana mtoto mmoja. Ana dada mmoja, Jaca, ambaye ni mhandisi na amekuwa akiishi na kufanya kazi Canada tangu miaka ya 1990.[4]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ T. B. Đ. (2007-06-20). "Rodoljub Šabić - Čovek od reči" [A man of his word]. poverenik.rs (kwa Kiserbia). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-07-13. Iliwekwa mnamo 2020-06-11.
{{cite web}}: More than one of|accessdate=na|access-date=specified (help) - ↑ "Rodoljub Šabić - poverenik za informacije od javnog značaja u Republici Srbiji" [Rodoljub Sabic - Commissioner for Information of Public Importance in the Republic of Serbia]. www.ekapija.com (kwa Kiserbia). Iliwekwa mnamo 2020-06-11.
- ↑ "Упознајте Повереника - Милан Мариновић - Повереник за информације од јавног значаја и заштиту података о личности". www.poverenik.rs. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-08-12. Iliwekwa mnamo 2020-06-11.
- 1 2 Radovanović, Rade (30 Agosti 2013). "Koliko su ljudi racionalna bića" [How rational people are]. Dnevni list Danas (kwa Kiserbia). Iliwekwa mnamo 2020-06-11.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)