Nenda kwa yaliyomo

Roberto Moreno

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Moreno akiwa katika kasi ya ajabu.

Roberto Pupo Moreno (anayejulikana kama Pupo Moreno; alizaliwa 11 Februari 1959) ni dereva wa Brazil wa mashindano ya Formula 1 world grand prix.

Moreno alikuwa anajulikana kama "Super Sub" yeye alikuchukua nafasi ya madereva waliojeruhiwa mara kadhaa na kumaliza katika nafasi nzuri.

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Roberto Moreno kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.