Robert Lefkowitz

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Robert Lefkowitz

Robert Lefkowitz (amezaliwa 15 Aprili, 1943) ni mwanakemia kutoka nchi ya Marekani. Amejulikana hasa kwa utafiti na usanisi wa vipokezi vya adrenalini. Mwaka wa 2012, pamoja na Brian Kobilka, alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.

Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Robert Lefkowitz kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.