Road Rash

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Road Rash ni mchezo wa kompyuta wa mashindano ya pikipiki ambapo mchezaji anashiriki kwenye vurugu kwenda kinyume na sheria za barabarani, kupigana na washindani n.k.

Mchezaji anaweza kutumia silaha mbalimbali kama vile mijeledi, mapanga, virungu n.k. Road Rash huchezwa na washindani kumi na watano.

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Road Rash kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.