Nenda kwa yaliyomo

Rio Branco

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rio Branco,Brazil


Rio Branco
Majiranukta: 9°58′29″S 67°48′36″W / 9.97472°S 67.81000°W / -9.97472; -67.81000
Nchi Brazil
Kanda North
Jimbo Acre
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 305,731
Tovuti:  www.riobranco.ac.gov.br

Rio Branco ni jina la mji mkuu wa jimbo la Acre katika Brazil. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2005, mji una wakazi wapatao 300,000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 153 kutoka juu ya usawa wa bahari.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Brazil bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Rio Branco kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.