Ringo Starr

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ringo Starr

Richard Starkey (alizaliwa 7 Julai 1940), anajulikana sana kwa jina lake la kisanii kama Ringo Starr, ni mwanamuziki wa Kiingereza. Alikuwa sogora na The Beatles.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Wikimedia Commons ina media kuhusu:


Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani wa Ulaya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ringo Starr kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.