Ricki Kgositau

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Tshepo Ricki Kgositau-Kanzaa ni mwanaharakati wa haki za wabadili jinsia kutoka Botswana ambaye anaishi nchini Afrika Kusini.

Mwaka 2017, alikuwa wa kwanza kukubaliwa utambulisho wa jinsia kisheria nchini Botswana.

Maisha Binafsi[hariri | hariri chanzo]

Kgositau amejitambulisha kama mwanamke tangu akiwa mdogo.[1] Mwaka 2011, aliomba aandikwe kama mwanamke kwenye kadi yake ya Omang (Kadi ya Utambulisho wa Kitaifa) na Ofisi ya Usajili wa Raia na Kitaifa, lakini hawakuweza kufanya mabadiliko hayo.[2]

Mwaka 2017, Mahakama Kuu ya Botswana iliagiza serikali kutambua utambulisho wake wa kijinsia kama mwanamke, na hivyo kumfanya mtu wa kwanza kukubaliwa utambulisho wake wa kijinsia nchini Botswana.[1]

Kgositau anaishi nchini Afrika Kusini.[2]

Kazi[hariri | hariri chanzo]

Kgositau ni mkurugenzi wa shirika la haki za kijinsia la Gender Dynamix.[3] Ni mwakilishi wa haki za watu wanaotambulika kijinsia.[1][4][5]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. 1.0 1.1 1.2 "Botswana to recognise a transgender woman's identity for first time after historic High Court ruling | The Independent | The Independent". Independent.co.uk. 2021-08-03. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-08-03. Iliwekwa mnamo 2022-06-23. 
  2. 2.0 2.1 Camminga, B. (2020-07-30). "One for one and one for all? Human rights and transgender access to legal gender recognition in Botswana". International Journal of Gender, Sexuality and Law (kwa Kiingereza) 1 (1). doi:10.19164/ijgsl.v1i1.993. 
  3. SADC Gender Protocol 2018 Barometer. (2018). South Africa: Gender Links. p47
  4. Camminga, B., Marnell, J. (2022). Queer and Trans African Mobilities: Migration, Asylum and Diaspora. United Kingdom: Bloomsbury Publishing. p56
  5. Trans Lives in a Globalizing World: Rights, Identities and Politics. (2020). United Kingdom: Taylor & Francis.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ricki Kgositau kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.