Utambulisho wa jinsia
Utambulisho wa jinsia ni istilahi iliyotungwa na profesa wa magonjwa ya akili Robert J. Stoller na mwanasaikolojia John Money [1][2][3] mnamo 1964 ili kuipa kipaumbele hisia binafsi ya jinsia kuliko ukweli wake wa kibiolojia (jinsi).[4]
Utambulisho wa jinsia unaweza kulingana na jinsi halisi ya mtu, kama ilivyo kwa wengi, au unaweza kutofautiana nayo.[5][6][7][8]
Wapo wanaodai kutambulika katika jamii vile wanavyojisikia, hivyo waweze kutumia vyoo vya jinsia wanayoipenda, kushiriki michezo ya jinsia wanayotaka na kufungwa gerezani pamoja na watu wa jinsia wanayojisikia ingawa sivyo walivyo na hatimaye hata kubaka wanawake halisi walioko [9][10][11][12].
Mtu yuleyule anaweza pia kubadilikabadilika katika msimamo wake, na kujiona leo hivi na kesho hivi. Baadhi ya watu wameshaorodhesha jinsia 70 (Facebook) au hata 100 na zaidi.
Nchi nyingi, hasa za Afrika, zimekataa mara kadhaa istilahi hiyo katika hati zilizoandaliwa na ofisi za Umoja wa Mataifa kama kwamba ni sahihi. Vilevile Kanisa Katoliki limepinga matumizi yake[13].
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- ↑ Dr. John Money, pioneer in sexual identity, dies.
- ↑ (2015) The psychobiology of transsexualism and transgenderism: a new view based on scientific evidence, 40. ISBN 978-1440831270.
- ↑ "The Hermaphroditic Identity of Hermaphrodites". The Journal of Nervous and Mental Disease 139 (5): 453–457. November 1964. . . https://archive.org/details/sim_journal-of-nervous-and-mental-disease_1964-11_139_5/page/453.
- ↑ (2006) "Sexual Orientation and Gender Identity Expression.", Sexual orientation and gender expression in social work practice: working with gay, lesbian, bisexual, and transgender people. New York: Columbia University Press, 3–17 (8). ISBN 978-0-231-50186-6. “Gender identity refers to an individual's personal sense of identity as masculine or feminine, or some combination thereof.”
- ↑ https://www.washingtonexaminer.com/restoring-america/courage-strength-optimism/the-science-behind-gender-ideology-is-bunk?inf_contact_key=5abbd48be3010479e456fd743760b06cf651f238aa2edbb9c8b7cff03e0b16a0
- ↑ "Considering Sex as a Biological Variable in Basic and Clinical Studies: An Endocrine Society Scientific Statement". Endocrine Reviews 42 (3): 219–258. May 2021. . . .
- ↑ (2016) Social Psychology: How Other People Influence Our Thoughts and Actions [2 volumes]. ABC-CLIO, 232. ISBN 9781610695923.
- ↑ American Psychological Association (December 2015). "Guidelines for psychological practice with transgender and gender nonconforming people". The American Psychologist 70 (9): 832–864. . . https://archive.org/details/sim_american-psychologist_2015-12_70_9/page/832.
- ↑ https://thefederalist.com/2021/06/24/poll-voters-hate-the-equality-act-when-they-hear-what-it-actually-does/?inf_contact_key=cc4291bcdec480a3b5378486f91fce9b4dfbc39d7283b2cb89d5189540b69330
- ↑ https://www.breitbart.com/europe/2022/05/31/rights-of-transgender-rapists-being-prioritised-over-women-and-victims-report/?inf_contact_key=06a622a83ca0ece0b35a02c3e99e14d41b0a3f0fd3ee5d9b43fb34c6613498d7
- ↑ https://www.washingtonexaminer.com/opinion/transgender-ideology-is-putting-male-rapists-into-womens-prisons-with-predictable-results?inf_contact_key=4aa36f62a09ac05006c48d35b18a629709c74070ac2bf3cfa7869e3cfd4ff832
- ↑ https://www.msn.com/en-us/news/world/scottish-minister-trusts-decision-to-send-transgender-rapist-to-women-s-jail/ar-AA16Jggc?inf_contact_key=d78ff9325b52536875e5281b00c42e964dfbc39d7283b2cb89d5189540b69330
- ↑ https://www.vaticannews.va/en/vatican-city/news/2019-06/vatican-document-on-gender-yes-to-dialogue-no-to-ideology.html
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Utambulisho wa jinsia kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |