Nenda kwa yaliyomo

Richard Grossman (mwandishi)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Richard L. Grossman (Agosti 10, 1943 – Novemba 22, 2011) alijulikana vyema kutokana na kazi yake ya kupinga uhalali wa mamlaka ya mashirika mbalimbali huko nchini Marekani[1]. Alikuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Greenpeace[2], mwanzilishi wa Wanamazingira, na mkurugenzi mwenza wa Mpango wa Mashirika, Sheria na Demokrasia (POCLAD).[3]

  1. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-10-20. Iliwekwa mnamo 2022-08-01.
  2. Reuters (1985-10-12), "AROUND THE WORLD; Greenpeace Says Ships Will Continue Protest", The New York Times (kwa American English), ISSN 0362-4331, iliwekwa mnamo 2022-08-01 {{citation}}: |last= has generic name (help)
  3. "Program on Corporations, Law & Democracy". www.poclad.org. Iliwekwa mnamo 2022-08-01.