Ricarda Winkelmann

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ricarda Winkelmann (alizaliwa 1985[1][2]) ni mwanahisabati, mwanafizikia na mtaalamu wa masuala ya tabianchi wa Ujerumani. Pia ni profesa wa uchambuzi wa hali ya hewa katika chuo kikuu cha Potsdam na shirika la uchunguzi wa athari ya hali ya hewa la Potsdam. Ricarda Winkelmann alisomea elimu ya hali ya hewa, ardhi, barafu na bahari[1].

Alitunukiwa Tuzo ya Karl Scheel ya mwaka 2017.

Elimu[hariri | hariri chanzo]

Winkelmann alitunukiwa stashahada ya uzamili wa fizikia kutoka katika taasisi ya Potsdam ya inayojihusisha na masuala ya hali ya hewa.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. 1.0 1.1 ""Sie hat eine ungeheure Neugier"". (de) 
  2. Ronja Kolls. "Ricarda Winkelman profile", Tagesspiegel, 17 Sep 2020.