Nenda kwa yaliyomo

Reese Klaiber

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Reese Klaiber ni msanii wa muziki wa country kutoka Kanada. Anaishi Alberta katika shamba la ufugaji. Mwaka 1998, Klaiber alitoa albamu yake ya kwanza, Where I Come From.[1][2]

  1. Reese Klaiber Ilihifadhiwa 11 Julai 2011 kwenye Wayback Machine. at Funk n' Hot Entertainment Promotions
  2. "RPM Country Tracks for June 14, 1999". RPM. Iliwekwa mnamo Septemba 17, 2010.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Reese Klaiber kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.