Reed Hastings
Mandhari
'
Reed Hastings | |
---|---|
Reed Hastings | |
Amezaliwa | Oktoba 8, 1960 |
Wilmot Reed Hastings Jr. (alizaliwa Oktoba 8, 1960)[1] ni mfanyabiashara bilionea wa Marekani. Ni mwanzilishi mwenza, mwenyekiti na afisa mwenza mtendaji mkuu (CEO) wa Netflix na pia ana nafasi katika idadi ya bodi na mashirika yasiyo ya faida. Alikuwa ni mwanachama aliyepita wa Bodi ya elimu ya California, Hastings ni mtetezi wamageuzi ya elimu kupitia shule za Mkataba.[2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "CBS News/New York Times Monthly Poll #1, December 2006". ICPSR Data Holdings. 2008-04-15. Iliwekwa mnamo 2022-08-14.
- ↑ Maranto, Robert; Gresham, April (2018-04-27), "The Wild West of Education Reform: Arizona Charter Schools", School Choice in the Real World, Routledge, ku. 99–114, ISBN 978-0-429-49744-5, iliwekwa mnamo 2022-08-14