Nenda kwa yaliyomo

Redouane Bachiri

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Redouane Bachiri (alizaliwa 27 Oktoba 1982 huko Maghnia) ni mchezaji wa kandanda wa Algeria. Hivi majuzi alichezea Klabu ya Olympique Médéa.

Viungo Vya Nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Redouane Bachiri kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.