Razak Abarola

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Razak Abalora ni mchezaji anayesimama katika kitengo cha kudaka anayecheza timu ya Azam Football Club. Ni mchezaji aliyetokea taifa la Ghana anayevaa jezi namba kumi na sita (16) mgongoni.

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Razak Abarola kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.