Ratan Tata
Mandhari
Ratan Naval Tata (28 Desemba 1937 – 9 Oktoba 2024) alikuwa mjasiriamali wa India
Kazi
[hariri | hariri chanzo]Mwaka 1961, Tata alikutana na msanifu majengo A. Gili Jones ambaye alitumia majuma matatu akiwa mkosoaji wa ubunifu wa usanifu majengo katika Chuo Kikuu cha Cornell. Baada ya kumaliza masomo yake Cornell, Tata alijiunga kwa muda mfupi na Jones katika kampuni yake ya Jones & Emmons huko Los Angeles. Wakati Tata alipokuwa akipanga kuishi Los Angeles, aliitwa kurudi India na bibi yake.[1][2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Ratan Tata is chairman emeritus of Tata Sons", The Times of India.
- ↑ "What makes the Tata empire tick?n;", The Independent (UK), 5 February 2015.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Ratan Tata kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |