Rasheed Alabi
Mandhari
Rasheed Oladimeji Alabi Suaibu (alizaliwa 9 Januari 1986 huko Kaduna) ni mwanasoka kutoka Nigeria ambaye mara ya mwisho alichezea klabu ya Sanat Naft ya Iran.[1][2]
Kazi
[hariri | hariri chanzo]Rasheed alichezea klabu ya OFI Crete na Doxa Katokopias. Alifunga bao lake la kwanza akiwa na klabu ya AC Omonia kwenye Kombe la UEFA dhidi ya Manchester City.
Heshima
[hariri | hariri chanzo]AC Omonia
- Mashindano ya Cyprus: 2010
- Kombe la Cyprus: 2011, 2012
- Cyprus FA Shield: 2010, 2012
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Rasheed Alabi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |