Ras al-Khaimah

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mji wa Ras al-Khaimah
Bendera ya Ras al-Khaimah
Eneo la Ras al-Khaiuma ndani ya Falme za Kiarabu

Ras Al-Khaimah (Kiar.: رأس الخيمة "Rasi ya hema") ni moja kati ya utemi katika shirikisho la Falme za Kiarabu. Iko katika kaskazini kabisa ya nchi.

Eneo lake ni 1700 km². Jumla hili limegawiwa kwa sehemu mbili zinazotenganishwa na maeneo ya falme nyingine. Kuna wakazi 250,000.

Mtawala wake ni Sheikh Saqr bin Mohammad al-Qassimi.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Ras al-Khaimah kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.