Nenda kwa yaliyomo

Ras Minano

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Makala hii inahusu mada au mtu asiyejulikana sana. Kuna mashaka kama mada inastahili kuwa na makala katika kamusi. Onyo hili linaweza kuwekwa pia kama makala haionyeshi umaarufu, hata kama upo.

Watumiaji wanaombwa kushiriki katika majadiliano kama makala hii inafaa kubaki au la. Tazama:Wikipedia:Umaarufu

Unaweza kuondoa kigezo hiki kama majadiliano yametokea na washiriki walipatana.

Ras Ekow Minano ni mwanamuziki wa nchini Ghana Rastafarian muimbaji, muigizaji, mwandishi wa nyimbo na kiongozi wa bendi ya Hope of Africa.[1] Alizaliwa mjini Accra na kwa sasa anaishi katika mji wa Port Adelaide,huko kusini mwa Australia. Mnamo mwaka 2020, alizindua alhe album yake ya tatu ya muziki iitwayo, Real Rasta iliyofuatiwa na alibamu zake za awali ziliyofahamika kwa jina la Jah Spirit na Africa is Sick. Nyimbo yake ya Africa Oseeyeii ilishinda tuzo "Reggae/World Music Song of the Year" kwenye tuzo za W.A.M. Awards ya mwaka 2020.[2][3] nyimbo hiyo pia ilimfanya Minano kufika kwenye nafasi ya nusu fainali kwenye shindano la kimataifa la Waandishi mahiri wa nyimbo mnamo mwaka 2020.[4] kufikia mwezi Februari mwaka 2021, Minano alizindua nyimbo yake ifahamikayo kwa jina la Womba, ambapo maana ya jina hilo linatafsiri maana hii "We are coming" in English.[5] Mpaka kufukia mwaka 2009 ameweza kuzindua alibamu moja pamoja na nyimbo tatu zenye muendelezo. Muziki wa Ras Minano na bendi ya the Hope of Africa inajumuisha ala za muziki wa afrobeat na reggae [6] na kukuza amani, upendo, maelewano na umoja.[7]

  1. "Australia based Ghanaian musician creates waves". Arts Ghana (kwa American English). 2021-08-22. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-07-03. Iliwekwa mnamo 2021-08-23. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)
  2. Nobo, Amisty. "W.A.M Awards: Australia based Ghanaian musician Ras Minano crowned Reggae song winner | News Ghana". newsghana.com.gh (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2021-08-18.{{cite web}}: CS1 maint: url-status (link)
  3. Bailey, Adam (2020-10-27). "The 2020 W.A.M. Music Awards Announce Winners". Music Talkers - Latest Music News & Artist Exposure (kwa Kiingereza (Uingereza)). Iliwekwa mnamo 2021-08-18.
  4. "Aussie and Kiwi finalists in International Songwriting Comp 2020". APRA AMCOS (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2021-08-18.
  5. Nobo, Amisty. "Ras Minano performs at Ghana Independence Day & Culture Celebration in Australia | News Ghana". newsghana.com.gh (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2021-08-18.{{cite web}}: CS1 maint: url-status (link)
  6. "Harmony Week: Ras Minano to perform at Port Adelaide tomorrow". GhanaWeb (kwa Kiingereza). 2021-03-18. Iliwekwa mnamo 2021-08-18.
  7. Timotheou, Stephanie (2017-02-23). "A harmonious day out for the family". adelaidenow (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2021-08-18.{{cite web}}: CS1 maint: url-status (link)