Ras Dejen

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Kilele kinavyoonekana kutoka magharibi.

Ras Dejen ni mlima wa Ethiopia (Afrika).

Urefu wake unafikia mita 4,533 juu ya usawa wa bahari.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Merriam-Webster's Geographical Dictionary, Third Edition. Springfield, Massachusetts: Merriam-Webster, Incorporat]]ed, 1997. ISBN 0-87779-546-0Script error: No such module "check isxn"..