Randy Lewis (mwanaharakati)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

J. Randolph "Randy" Lewis (amezaliwa 1950) ni mfanyabiashara, mtetezi wa uajiri wa walemavu[1] na mtunzi wa Marekani.[2]

Lewis ni makamu mkuu wa Rais wa kampuni ya Fortune 50, na mjumbe wa bodi ya National restaurant chain.[3] Alikuwa mkuu mnyororo wa usambazaji na vifaa katika Walgreen kwa miaka 17 mpaka alipo staafu 2013.[4] Kwa miaka yake kumi pale, alitengeneza program kwenye kituo chake cha usambazaji kwa ajili ya kuunganisha idadi kubwa ya watu walemavu kwa usawa ndani ya nguvu kazi.[5]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Disability Inclusion". Walgreens (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-08-05. 
  2. https://www.amazon.com/No-Greatness-without-Goodness-Movement/dp/1414383649/
  3. "The Wendy's Story | Wendy's". www.wendys.com. Iliwekwa mnamo 2022-08-05. 
  4. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-03-03. Iliwekwa mnamo 2022-08-05. 
  5. "Disability Inclusion". Walgreens (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-08-05. 
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Randy Lewis (mwanaharakati) kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.